Bongo flava

Binti Kiziwi

  • Binti Kiziwi View all from Zanto
    Zanto, Pingu
    Binti kiziwi
    2008
    Zanto
    Swahili
    http://www.youtube.com/watch?v=mxlwJHKmG4E

full lyrics coming soon

add lyrics by adding comments below

Mawazo

  • Mawazo View all from Lady Jaydee
    Lady Jaydee, Mwanafalsafa
    Moto
    2005
    Judith Daines Wambura Mbibo
    Swahili
    6
    3:42

Mawazo kila mtu nayo mawazo
Mawazo mawazo

Sexy lady cheated

lyrics coming soon

add lyrics by adding comment below

Anita

  • Anita View all from Matonya
    Matonya, Lady Jaydee
    Siamini
    2007
    Seif Shaban
    Swahili
    4:37
    http://www.youtube.com/watch?v=5SCE4n3ry0Y

Chorus
Anita, Anita wangu, hey lele lilei iyeeee iyee
Ei sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja

Verse - Matonya
Nasikia mazoea yanatabu, leo ndio naamini
Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi
Ukumbuka tulilishana yamini
Kwamba mimi na wewe
Maisha milele mpaka nafukiwa chini
Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe
Natamani uyajue ili unilinde mimi
Sijajua uliwaza nini Anita kuwa mbali na mimi
Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi
Kama ni maradhi, mimi ndio wako nakitari
Unambie mapema ili dawa yake niijue
Kama ni waradhi

Machoni kama watu

  • Machoni kama watu View all from A-Y
    A-Y, Lady Jaydee
    Raha Kamili
    2003
    Ambwene Allen Yessayah
    Swahili
    1
    3:35

Chorus
Machoni kama watu
Mioyoni hawana utu
Imani imetoweka
Mabaya yanaongezeka

Verse 1
Wengi wao wanatabasamu, wanaongea kwa nidhamu
Wanajifanya watu wa karib kumbe hao ndo sumu
Wameweka mbele dini fungo moyo usiwaamini
(Si unakumbuka alikufaa kwa dhiki)
Kweli
(Enzi zile upo nae marafiki)
Aha, yuko wapi sasa hayupo tena ashasaliti
Kweli akufaae kwa dhiki mara nyingine ni msaliti
Alishatembea na mkeo kwa gia ya urafiki
Shoga yako kwako habanduki mmeo akakutaliki
Unajuta ye anacheka kwani ndoa keshaivuruga
Mmeo ametimua ye keshatawala nyumba

Siwema

  • Siwema View all from Lady Jaydee
    Lady Jaydee
    Binti
    2003
    Judith Daines Wambura Mbibo
    Swahili
    10
    4:38

Chorus
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka ukweli nasema
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka ukweli nasema

Verse
Nimepali nimepata mpenzi wa kweli
Nakupe umenipa tigana na mambo ya ja kuku
Nia na madumu niako nimeshabi wasi wema siwema kaka
Siwema kaka, ah ah ah

Kuna jitapa bele ya rafiki zako
Wawa mimi sina la yako
Umeniweka kwenye kiganja mama
Kunalo taka nilo ninafanya sababu wewe
Mimi mzuri sana
Siwezi kupata mwengine kama wewe
Siwema kaka, unaji da gana

Wema wangu leo ulio niokokoza
Waliwa zote, ume kwako n

Nyota Yako

  • Nyota Yako View all from TID
    Top In Dar
    Jembe
    2008
    Khalid Mohammed
    Swahili
    http://www.youtube.com/watch?v=ANm5uEbzze4

Chorus
Jua kwamba wewe ndio wangu
Baridi ya roho 'seisha na hamu
Sura yako dawa kwangu
Raha za pungu' kando zangu [Not really sure what this means]
Mahaba yako ndio tiba yangu
Nyota yako yang'ara yangu

Hebu tathmini kisha nipe jibu
'vi kwanini hutaki kunijibu
Mitihani yote nimeshinda
Nadhani ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi
Roho yangu inauma (a lady helps co-sing this line)
Maumivu sasa basi
Sasa basiiiii

Ni kwa thabiti nielewe
Pesa sio mapenzi...
Pesa sio mapenzi...
Kwa utenzi huu
Nielewe baby
Nakuhitaji mpenzi
Wewe nd'o faraja yangu
Wewe nd'o f

Bembeleza

  • Bembeleza View all from Marlaw
    Marlaw
    Bembeleza
    2007
    Lawrence Malima
    Swahili
    1
    4:43
    http://www.youtube.com/watch?v=1j5JkbsFB30

Chorus
Hey hey hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao, uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza

Verse
Kila time nakuangalia usoni maa
Sio kamaa nakosa neno kusema
Ulivyo maaunafanya kosa kunena
Ingawa moyo hautaki kunena tena
Wazo kichwani lina beep (kukueleza)
Ilavibaya ukinijibu (bembeleza)
Nahisi sijui bembeleza
Utakataa halafu mi utaniumizaa
Kidesign nakuangalia usoni maa
Kuna sign za kuita huko machoni maa
Kitu fulani umehifadhi huko moy

Leah

  • Leah View all from Dully Sykes
    Dully Sykes
    Handsome
    2004
    Abdul Sykes
    Kiswahili

Nilimkuta Leah amejilaza
Chini kwenye kituo cha wamataa
Huku ngozi yake maji ya kunde
Imegeuka ya majani isiyopendeza
Unafanya nini nikamuliza ?
Akanijibu anaumwa na pia ana njaa
Msichana wa miaka wa kumi na tisa
Kumbe alikuwa amesha hadhirika
Nikampeleka duka la madawa
Hili kidonge kidogo imweke sawa
Kwani alikuwa na fungus mwili mzima
Ikambidi anihadhithia stori nzima
Akaanza kuniadhithia kwa huruma
Kwamba siku mmoja alikuwa anatoka shuleni
Siku hiyo njaa ilimtawala
Akotokea dereva wa daladala
Akamwambia Leah Lifti panda mbele
Japo mwanafunzi akae kiti cha mbele
Tena bila m

Tamika

  • Tamika View all from Dully Sykes
    Dully Sykes
    Handsome
    2004
    Abdul Sykes
    Kiswahili

Rudini nyumbani Tamika
kwani watoto wanateseka aah...
nikikumbuka tulikutoka
roho yangu inasononeka ooh...
2x

yapata mwaka miezi tangu utoroke nyumbani mpenzi
watoto wamekosa malezi sababu yako Tamika mpenzi ooh

Naomba piga japo simu unieleze unapoishi
uchangamufu na ucheshi wako sasa nisimulizi

watoto wanalia njaa na baba yao sina hata kazi

nitakuja kupata uchizi
sababu yako Tamika mpenzi

Refrain

walimwengu sina furaha
naishi kwatabu na ka raha
naimba huku nasononeka
kwa mambo aliyoyafanya Tamika

uzuri wake akicheka nikimkumbuka nahusunika

Vijimambo

  • Vijimambo View all from Vijimambo
    Noorah
    Vijimambo
    2007
    Noorah
    Swahili
    http://www.youtube.com/watch?v=YWmyFr_REAo

Intro
Hivi nani..........Hivi nanii vijimambo

Chorus
Usishangae usione hatari (vijimamabo)
vipo hivi kila siku (vijimambo)
mjomba wewe vimekukuta? (vijimambo)
hivi nani...............vijimambo

Verse 1
Si muda mrefu sana toka nimalize shule/
bado nahangaika mambo yangu yatulie/
kula kulala kwa baba kuwa napenda/
ni vile mtandao bora wa maisha sijaujenga/
(anyway) mtaani kuna binti kanichengua/
na kwa utajiri wangu wa sera wimbo atautambua/
Uwaridi u mzima?

Syndicate content
3457.6