Nyumbani - Museke African song lyrics
Mahali nitokapo mimi
Sitarudi nyuma
Mahali niendapo mimi
Sitaki kurudi nyuma
Mahali niitwapo mimi
Sitaona nyuma
Mahali Yesu yupo
Hata mimi nitakuepo
Hakuna kilio hakuna giza
Yesu ndiye mwanga
Huko ndiko nyumbani
Hakuna magonjwa wala mauti
Yesu dakitari ![]()
Huko ndiko nyumbani
Hakuna ubishi wala wizi
Sote tuwatakatifu wake
Na Yesu ndiye mwanga
Kwa Yesu, kwa Yesu
Huko ndiko nyumbani
© Kambua
Watch the Nyumbani video
Mbuvi
Kasuni Films












Post new comment