Ngeli ya genge - Museke African song lyrics

Tagged:  •    •    •    •    •    •    •  

Ngeli ya genge
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media gallery

View all Jua Cali entries
Ngeli ya genge
Jua Cali
2008
Paul Nunda
2008

Na andika hii verse ka nikona njaa
Naenda kupika bila makaa
Na waita na mnakataa
Mnasema kanisa ni ya mavijana
Kushiba ni baada ya salaa
Kuiba nayo siku hizi ni balaa
Utageuzwa kima nyama ya kusagaa
Pika iive tunamangaa
Skuma chumvi na ka ugangaa
Chuma ngumi teke kadhaa
Boxer vumbi na ma kambaa
Toka nyuki asali changaa
Koma kumi utashangaa
Ama stima zitazimaa
Tuende kwa kina farida
Jieke hina kwa mafinga

[Chorus]

Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge x2

Nataka ukae poa ka kina
Fatia halima na eva
Watoto wazuri ku&*%
Ndoto nzuri uisha
Ka ume*&$ zote kabisa
Ukasanya mote ukampatia
Bahati mbaya ukashikwa
Mabati waya ukapigwa
Mashati za wanga zikaishia
Chukua zengine uanze kupima
Vua pengine ni ya peter
Beste yangu mtu wa shida
Hii mete ni yangu we tuliza
Unadoea ki fisi na hauja alikwa
Unapokea dishi na haijapikwa
Chakula ni mbichi na haija ivaa
Tuma sista eastleigh ma njivaa
Lakini chunga vile atajivaa

[Chorus]

Ma mini chuja na adidas
Ma Gstring shuka na ma%*a
Ma mbuyu kwao ni kushangaa
Dudu zao zina amkaa
Njugu kibao wanatafunaa
Mamatha uku wanashtuka
Hanya huyu utajuta
Kama sumu inaua
Maziwa iko tutakunywa
Kama njumu zinatupa
Kabisa tutakataa kuvua
Matope kila mahali panguza
Pole pole ngazi tunashuka
Pole ka kazi yasumbua
Mwisho ganji itaingia
Vitisho wangapi wataskia
Genge damu eeh
California Au sio

[Chorus]

© Jua Cali

:

Watch the Ngeli ya genge video

 

Produced by Calif Records
Lyrics from mistari.com

Post new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Enclose a word in <d> tags to link to a dictionary search. e.g. <d>fienipa</d>
  • Enclose a word in <m> tags to link to a lyrics search. e.g. <m>Kojo Antwi</m>
  • Enclose a word in <s> tags to link to a search on this website. e.g. <s>kweku ananse</s>
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options