Ukimwona
http://bp1.blogger.com/_Ode8W2HkMbc/RuPlHMGMR-I/AAAAAAAAACg/j-Y9zlL500U/s320/lady_s-050907.jpg
View all from Lady S
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryLady S, PilipiliUkimwona2004Sharon WangweKiswahilihttp://www.youtube.com/watch?v=eclisi2ZTP4
Eeh lady S, colabo na pili pili.hii ngoma ni ya wahuni,watu wa kuhanyahanya.wakiniona wanainuka.
Ukimwona mwambie namtaaka,
Ukimwona mwambie na msaaka,
Ukimwona mwambie namhata
Ndio ajue na mpenda
Ukimwona aah *3
Mtoto nakuomba nisamehe,
Kwa kutangatanga kama mwewe,
Usiniache mama
Nitaumia mtoto na njeve,
Unajifanya mpoa na hata huna mwere moja
Una hanyahanya huku na kule ati mimi nakungoja,
Unaniseduce ati tutastay pamoja,
Naulikuwa unahanya ule beste wangu wa Umoja,
Sihatajuzi maboyz walikucheki na manzi fulani mtaani,
Nakila wakati unanipa date unaosha masahani,
Fatuma,Majuma na Zaituna,
Si uliwapa ile chuma,siuliwapa ile chuma,
Kila saa unanishow umechill
Nastori zako zimevuma
Unajibamba sana Mr.handsome
Nahauna utamu
Naukinicheki na chali
Unatamaani kulia damu,
Hata nikihug makuzo
Unajifanya kitungu saumu
Sikufeel
We feel zangu chuki na mimi nitulie
Pia ukipenda jua kali akutupie juu ya mabati ama akumakie
Si ile Sunday ulinishow mi tu ni kachik
Una niclaim sikupi love na nalook so cheap
Fahamu kila kitu kinapanda nakinachuka
Ukimwona*2
najua niliringa kajifanya muvito
Sikujuwa nitapata kipigo,
Ni miezi tatu mama
nanina hata mapenzi sipo
sasa tumwone ni nani jasusi,
juu kila siku maneno zinacome na matusi,
vile umejiweka nikujingarisha tu,
ulikuwa tu kauzi,
siata ulikuwa fala nikakupaa zangu juzi,
usikuwe ka Isso ka kuweka cookie moja
zitapasuka,leo nakupa meno ambazo zinanuka,
leo ni leo auskie pia nawezazusha,nawezazusha
maujanja zako ndio hizo zinagonga ukuta,
huyo manzi unamtumia mtumia si umkatie,
juu anaweza kubamba na love yako akupatie,
yangu kwako baba ni long gone history
long gone history
sikufeel,
we feel zangu chuki na utulie,
kila manzi mtaani anazako story,
lady s lady s,kwani hauchoki kuongea
sasa feel free juu umeangukia ile imeshachocheya
mambo zangu na zako zishagonga ukuta
nilikupenda sana,
sasa angusha words high class,
ndio tuonge,
tuonge tuongeee
ukimwona...
wenye wanasema wacha wasema,
kwani sitachoka
endeleeni endeleeni kuropokwa
genge
lady s hapa,pilipili,
two thao na tano!!
(shikisha)
© Lady S
Watch the Ukimwona music video by Lady S
| Related | |
|---|---|
| Museke artistes | Lady S1 |
Check some info on Lady S
http://nyotandogo.blogspot.com/2007/09/lady-s-some-things-stay-unknown.html





















nice song by lady S (Sharon), thanks for the lyrics chikingi
Post new comment