View all from Wawesh Its Meant to beWaweshSwahiliWawesh2007
Intro
Poa, Poa, Poa, Poa
Usiharakishe
Poa, Poa, Poa, Poa
Verse 1
Skiza manze kuna ka dame nataka,
nili muona kwa mathree akishuka nikipanda
chali wa mine akasema anamjua,
jina yake ni Ciru kutoka Loreto seco
Tukanza kutembea, akanielezea plani vile naeza kumtegemea
Nikajifanya kama sijali lakini ndani, nimekubali
The next day nikaenda, (kule, shule)
Nika muona (yule, yule)
Hayuko peke ni yeye na chali mwingine
Story itaendelea part 2 kwasababu sahi nataka muimbe
Usiharakishe
Chorus
Poa, Poa, Poa, Poa
Verse 2
Ule chali alikwa ni brathe, niliwafuata njumbani kuona mother nika sare
Nikafikiria vile ndafanya, the next day ntamuliza kama anataka kwenda hare
(kule, shule) Nika mwambia, hoi Ciru, the first time I saw ilikwa kama filo
Wewe ni princess na mi ni otero, unafanya nini Friday ama Sato
To be continued..
Usiharakishe
Chorus
Poa, Poa, Poa, Poa
Verse 3
Mimi na Demu
Ndani ya hare
Mikono Juju
Sisi na Walle
Una penda nini, una kunya nini
Ngojea dakika mbili nikanunue kitu baridi
Tuka bonga, tuka dance, tuka shift
Nika msindikiza nyumbani, natuka kiss
Nikamuonesha respect
Kwamba morali ya story hii ni..
Husiharakishe
Chorus
Poa, Poa, Poa, Poa
© Wawesh
Produced by Blao Entertainment AB












, GBP 62.77 only.
Post new comment