View all from Wawesh
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media galleryIt's meant to beWaweshSwahili, Englishhttp://youtube.com/watch?v=1movfgVuCnoRobert Wawero Kiboy2006
Chorus
Msicheze na Wawesh ye ni Mjanja
Westlands wana sema ye ni Mjanja
Califonia wana jua ye ni Mjanja
Highlands wana wika ye ni Mjanja
Msicheze na Wawesh ye ni Mjanja
Ma chali wana jua ye ni Mjanja
Mamanzi wana sema ye ni Mjanja
And if you dont know we si Mjanja
Verse 1
ATERERE, dandia uko nyuma twende
Fagia shoulder yako kama ni vumbi
Ongeza sauti kama beat hidundi
Mamase mamase mamakusa
Hi wimbo ninafanya ni chakacha
Hi wimbo zioezi ku ka kata, chakacha
Chorus
Bridge
Makofi, Makofi, Makofi, makofi
Verse 2
Nairobi poa chunga msika O.D.
Dar e salaam, kampala OGs
DJ fanya L double O P
Tupeni ma mikono bila ponyi
Mtengezani wa ngoma na stori
Aka obohu alafu softi
Wawesh atakufanya we unoki
Chorus
Bridge
Makofi, Makofi, Makofi, makofi
© Wawesh
Watch the Mjanja video by Wawesh
Produced by BLAO Entertainment AB












Post new comment