Anita - Museke African song lyrics

Tagged:  •    •    •    •    •  
  • Anita
    Enable Javascript and
    Adobe Flash player in your browser to browse the full media gallery

    View all from Matonya
    Siamini
    Matonya, Lady Jaydee
    Swahili
    4:37
    http://www.youtube.com/watch?v=5SCE4n3ry0Y
    Seif Shaban
    2007

Chorus
Anita, Anita wangu, hey lele lilei iyeeee iyee
Ei sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja

Verse - Matonya
Nasikia mazoea yanatabu, leo ndio naamini
Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi
Ukumbuka tulilishana yamini
Kwamba mimi na wewe
Maisha milele mpaka nafukiwa chini
Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe
Natamani uyajue ili unilinde mimi
Sijajua uliwaza nini Anita kuwa mbali na mimi
Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi
Kama ni maradhi, mimi ndio wako nakitari
Unambie mapema ili dawa yake niijue
Kama ni waradhii iiiiiie
Anita

Repeat Chorus lyrics from museke.com

Verse - Lady Jaydee
Unajua nilikupendaa zaidi
Ila ya dunia we yalikuzidi
Nilitamani kuwa nawe zaidi
Kuliko yoyote unayemdhani
Siku zote uko safarini kuniacha mimi upweke
Mimi nilikupena sana we mpenzi
Je kweli wataka kunienzi
Au unataka kunitia mi mashakani

Verse - Matonya
Siku zote nipo kama chizi, ni yangu njiani naongea
Hiyo yote sababu yako anita kilio pokea
Chifu na majirani mtani wanakuulizia
Sina la kuwajibu nabaki kama chichi najililia
Waliniambia nikuache wewe
Ili mimi niishi mwenyewe
Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe
Wakasema hutonisamini, wala haikuniingia akilini
Gozi, gita wakapiga jua wewe ndio wa maishani
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga
Kwako taabani nimeshamwaga manyanga
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga kwako taabani.

Repeat Chorus till fade

© Matonya

:

Watch the Anita video featuring Matonya and Lady Jaydee

Related
Museke African song lyricsVailet1, Dunia mapito2, Wanaume kama mabinti6, Siku hazigandi7, Distance8, Siwema9, Shake it10, Go back to her11, Story of my life12, Kom speel13, Falling in love14, Umunt'onjani lo16, Dali Wami17, Mngani Wam18, Nabikoowa19, Kibaluma20, Tamika22, Leah23, Afrique24, Signs (are all around us)26, The Story Behind The pain27, Yvonne28, Zali la mentali30, Sivyo Ndivyo31, Katupakase (tukole)32, Bei kali33, Jamila34, Mama Rhoda35, Nikusaidiaje37, Poa38, Wasanii39, Watu wangu40, Tafutaji41, Ulaya42, Mpango43, Shindwa44, Mbarika45, Ndawo yami (my place)46, Magic47, Sogea sogea49, Sikuhitaji50, Uko wapi51, Emlanjeni53, Ndihamba Nawe54, O tswa kae 55, Ma'cheri56, Pot belly57, Baby Tonight58, Pink confetti59, Maisha (my life)60, Everytime61, Butterflies62, Dalile (the hamba song)63, One of a kind64, Secrets66, Love me for me67, Sinzia68, Ninanoki69, Wailai70, Salari71, Karibia72, Amosozi y'urukundo74, Missing my baby75, Black President77, Vul'indlela78, Phezulu79, Lwandle 81, High I go82, The Superstar83, Fiasco84, Dubula, dubula, dubula85, Sondela87, Tsho Tsho88, Riziki89, I'm not sober91, Everyone's Child 92, Wandirasa 93, Tamari95, Never Change My Mind 97, Destiny98, Mhla'uphel'amandla 99, Fever100, Muntuza (2 bob)101, Sekunjalo102, Don't Stop Believing 103, Ngixolele104, Nguwe 105, Cinderella (Ali Kiba)107, What's hardcore108, Hoobale109, Gimme love110, Kenyan gal, Kenyan boy111, Fire anthem112, Chochote utapata113, Usijaribu (Mikono juu)114, Nchi ya kitu kidogo115, Twende Twende 117, Bless ma room118, African dream119, Click Song (Qongqothwane)120, Wa tuba tuba 121, Karolina123, Subhaa124, Cape to Cairo125, Vumile126, Niwe wako128, Bembeleza129, Motherland (Tribute to Africa)130, International131, Kuna dawa132, Liar133, Ngaphesheya 135, Machoni kama watu 136, World of scandals138, Crazy party139, Music & Lights140, Feel good141, Quadradinha142, Nita Mukuma Kwini144, I love you (Yola)145, I'm burning up146
Museke African mixes/playlistsAfro-ES3
Museke African artistesMatonya4, Lady Jaydee5, Gal Level15, Juliana Kanyomozi21, Tumi and the Volume25, Professor Jay29, Bushoke36, Zamajobe Sithole48, Ray C52, Jamali65, Kidumu73, Amani76, Zola80, Kabelo86, Jamnazi Africa90, Chiwoniso94, Malaika96, Alikiba106, Eric Wainaina116, Koldproduk122, Nikki127, Wahu134, Top in Dar (TID)137, Yola Araujo143
 

Produced by Mandugu Digital/41 Records

Lyrics edited and done with help of A.K.A of Chizika

Emmy Nya7's picture

kibao kizuri kupindukia, mimi nasifia kweli.Endelea na sanaa yako bwana
Matonya nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

4everBongz's picture

nakupenda sana matonya na lady jaydee u both have manufactured a song for the ages
bongo everydayyyyy
we need you to come perform in the states you have a lot of fanz here

Mariama's picture

the big hit in bongo this summer together with binti kiziwi!
Bongo is the place to be in Africa

Poster un nouveau commentaire

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options

1383.98