Bata (Al battat) - Museke African song lyrics

Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media gallery
Mwenye uzuri wa macho
kifua na wake mwili
mwenye nyama laini ya nje hadi ya ndani
kwanza nimekwisha wasikia kama wanataka kuharabia
wanasema unapomlaaa, mfupa huwezi tupa
ukitaka raha zaidi uwe umempakata........
nyaama ya mbele ni kavu , ya nyuma ina mafuta......
jamani bataa mtaamu nyie........
Watch the Bata video
Audio by Lil Ghetto
Video by Abrah the Producer
Golden Heart Studios
Akhenathon Records











Post new comment