Siwema - Museke African song lyrics

Tagged:  •    •    •    •    •    •  

Siwema
Enable Javascript and Adobe Flash player in your browser to browse the full media gallery

View all Lady Jaydee entries
Binti
Lady Jaydee
Swahili
4:38
10
Judith Daines Wambura Mbibo
2003

Chorus
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka ukweli nasema
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka ukweli nasema

Verse
Nimepali nimepata mpenzi wa kweli
Nakupe umenipa tigana na mambo ya ja kuku
Nia na madumu niako nimeshabi wasi wema siwema kaka
Siwema kaka, ah ah ah

Kuna jitapa bele ya rafiki zako
Wawa mimi sina la yako
Umeniweka kwenye kiganja mama
Kunalo taka nilo ninafanya sababu wewe
Mimi mzuri sana
Siwezi kupata mwengine kama wewe
Siwema kaka, unaji da gana

Wema wangu leo ulio niokokoza
Waliwa zote, ume kwako ni kukuwe
Malipo yake, ulifanya mji ga koko
Ao yote, nimako za yangu
Lakini sasa nimejifunza soda na makosa
Jia kusha na we mama a

Hook 2x
Nimezunguka Tanzania bara
Unguja na pemba nimefika
Nimewaona vijana wenye sifa
Wenye kujipamba waka pambika

Kwa hivyo nie, leo brother
Sibabaishwi na sura napenda tabia njema (loop)
Sibabaishwi na sura yako
Usifikiri mimi rimbukeni sana
Lilikupenda ki mapenzi
Ukaniona ni mimi suga mami lako
Tabia njema ndio siraha kwako
Kila mtu watakupenda ....

© Lady Jaydee

Gabri's picture

ahsante
thank you so much for the Siwema lyrics
It's a beautiful song from a beautiful singer

Post new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
  • Enclose a word in <d> tags to link to a dictionary search. e.g. <d>fienipa</d>
  • Enclose a word in <m> tags to link to a lyrics search. e.g. <m>Kojo Antwi</m>
  • Enclose a word in <s> tags to link to a search on this website. e.g. <s>kweku ananse</s>
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Youtube and Google video links are automatically converted into embedded videos.

More information about formatting options