Ooh Rita (Rita) 3x
Ooh Rita oh no no no
Chorus
Sauti inasikika
Tega makini, hujui nani inamwita
Chozi lanitoka nitazamapo angani,
Naona Sura ya Rita
Ona mikono yangu mitupu, imezoea kukushika we
Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe
Ooh Rita 2x
Daily nakuwaza wee
Ooh Rita 2x
Mimi nitanyamazaje?
Verse 1
Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana,
Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana,
Ila we unajua ni yako familia, damu yangu ya Bongo si ya Asia.
Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa.
Ku
Recent comments
11 hours 33 min ago
13 hours 22 min ago
13 hours 49 min ago
1 day 2 hours ago
1 day 9 hours ago
1 day 13 hours ago
1 day 17 hours ago
1 day 18 hours ago
1 day 18 hours ago
2 days 34 min ago