Dully Sykes - Museke African song lyrics

The Museke project seeks to be the biggest database of African music lyrics, songs, and information. See more at our about page

This is a list of songs on Museke.com. They are arranged alphabetically by song name. Click on a letter of the alphabet to access the songs which begin with that letter.

For instance, you can also type http://www.museke.com/all/song/kofi to access songs for musicians called Kofi

You can also search by country and artiste at the artistes page

Editors enoch
Jump to Musician >> a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Help
Page1

Dhahabu

Tagged:  •    •    •  
Dhahabu

Intro
Ohh! ai say ai ai
Ohh! mama ei, oi ei ei ei
Say ei ei

Verse 1 - Dully Sykes
Nakupenda maa!
Basi njoo maa!
Nikila saa kabisa! uko kwa kichaa!
Girl just listen,tuishi kwama heaven
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy to me, achana na toy
Dozz pipo doz mapozi
Sasa dozi na hisia za machozi
Na napenda zako nywele ndefu
Zimekwenda shule
Upande wa maumbile
Nadata toka pande pande ile
Sura yenye mvuto mashavu yenye dimpose (2x)

Chorus 2x
Oh! oh! oh!

Leah

Tagged:  •    •    •    •    •    •  
Leah

Nilimkuta Leah amejilaza
Chini kwenye kituo cha wamataa
Huku ngozi yake maji ya kunde
Imegeuka ya majani isiyopendeza
Unafanya nini nikamuliza ?
Akanijibu anaumwa na pia ana njaa
Msichana wa miaka wa kumi na tisa
Kumbe alikuwa amesha hadhirika
Nikampeleka duka la madawa
Hili kidonge kidogo imweke sawa
Kwani alikuwa na fungus mwili mzima
Ikambidi anihadhithia stori nzima
Akaanza kuniadhithia kwa huruma
Kwamba siku mmoja alikuwa anatoka shuleni
Siku hiyo njaa ilimtawala
Akotokea dereva wa daladala
Akamwambia Leah Lifti panda mbele
Japo mwanafunzi akae kiti cha mbele
Tena bila m

Nyambizi

Tagged:  •    •    •  
Nyambizi

Kiitikio - Chorus
Nyambizi nakupendaa japoo Mkuubwaa,
Mateso ninayopato usiku ni makuubwaa!
Naomba unielewee uwewangu mchuumbaa,
Nyambizi nakupendaa japoo mkuubwaa!
Verse 1
Cheki, night kali nilimtembelea
Eddy Tazz, katika yake kazi, ya ulinzi, hukooo Tangi Bovu Mbezi
Basi tunapiga story si ndo kapita nyambizi
Na mwendo wa mapozi, nami nikampigia mluzi
Basi akasimama akapiga hatua saba mithili ya mtu anayetaka kukaba,
halafu akaja akaniuliza;
Kwani weee nani? (Hidaya)

Salome

Tagged:  •    •  
Salome

Kiitikio ! Chorus 2x
Oh oh oh!

Tamika

Tagged:  •    •    •    •  
Tamika

Rudini nyumbani Tamika
kwani watoto wanateseka aah...
nikikumbuka tulikutoka
roho yangu inasononeka ooh...
2x

yapata mwaka miezi tangu utoroke nyumbani mpenzi
watoto wamekosa malezi sababu yako Tamika mpenzi ooh

Naomba piga japo simu unieleze unapoishi
uchangamufu na ucheshi wako sasa nisimulizi

watoto wanalia njaa na baba yao sina hata kazi

nitakuja kupata uchizi
sababu yako Tamika mpenzi

Refrain

walimwengu sina furaha
naishi kwatabu na ka raha
naimba huku nasononeka
kwa mambo aliyoyafanya Tamika

uzuri wake akicheka nikimkumbuka nahusunika